Lengo la blogu hii ni kuweka bayana masuala yote yanayoleta utata kuhusiana na nchi yetu ya Tanzania. Ili kufanikiwa katika azma hii tunaomba taarifa, picha n.k kuhusiana na viongozi, watumishi wa serikali, wafanya biashara na wengineo ambao unadhani kwa namna moja au nyingine wanashiriki katika kulididimiza taifa letu. Ni vizuri taarifa zikawa za ukweli na si majungu. Nasi bila hiyana tutaziweka hadharani ili kudumisha uadilifu na uwajibikaji.